Askofu Zacharie Katanda Masimango wa Dayosisi ya Anglikana ya Kindu: Viongozi wa dini wazungumzia Imani wakati wa Ebola.

Radio Okapi ·
DR Congo

Viongozi wa dini jimboni Maniema pia wanajipanga kupambana na Ebola. Mjini Kindu, dayosisi ya Anglikana inafanya juhudi kubwa kuelimisha wakaaji kuhusu ugonjwa huo. Kikao kwa ajili ya viongozi wa dini kiliandaliwa na mada kuu ilikua "Imani wakati wa Ebola," kwa lengo la kuwapa viongozi wale mitazamo sahihi na ujumbe bora wa kuwafikishia waumini wao. Ili kujadili suala hili, Florence Kiza Lunga…

Read original article on Radio Okapi →